Yobu 7:2 - Swahili Revised Union Version2 Kama mtumishi atamaniye sana kile kivuli, Kama mwajiriwa anayetazamia mshahara wake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kama mtumishi atamaniye sana kile kivuli, Kama mwajiriwa anayetazamia mshahara wake; Tazama sura |