Yobu 7:10 - Swahili Revised Union Version10 Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena. Tazama sura |