Yobu 5:3 - Swahili Revised Union Version3 Nimewaona wapumbavu wakishusha mizizi; Lakini mara niliyalaani maskani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini ghafla nikayalaani makao yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini ghafla nikayalaani makao yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini ghafla nikayalaani makao yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nimewaona wapumbavu wakishusha mizizi; Lakini mara niliyalaani maskani yake. Tazama sura |