Yobu 42:4 - Swahili Revised Union Version4 Sikiliza, nakusihi, nami nitanena; Nitakuuliza neno, nawe niambie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Uliniambia nisikilize nawe utaniambia; kwamba utaniuliza nami nikujibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Uliniambia nisikilize nawe utaniambia; kwamba utaniuliza nami nikujibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Uliniambia nisikilize nawe utaniambia; kwamba utaniuliza nami nikujibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’ Tazama sura |