Yobu 41:8 - Swahili Revised Union Version8 Mwekee mkono wako; Vikumbuke vile vita, wala usifanye tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kila moja imeshikamana na nyingine, hata hewa haiwezi kupenya katikati yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kila moja imeshikamana na nyingine, hata hewa haiwezi kupenya katikati yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kila moja imeshikamana na nyingine, hata hewa haiwezi kupenya katikati yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ukiweka mkono wako juu yake, utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kama ukiweka mkono wako juu yake, utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena! Tazama sura |