Yobu 4:7 - Swahili Revised Union Version7 Kumbuka, tafadhali, ni nani aliyeangamia akiwa hana hatia? Au ni wapi hao waelekevu walikatiliwa mbali? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Fikiri sasa: Nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Fikiri sasa: Nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Fikiri sasa: nani asiye na hatia ambaye amepata kuangamia? Au, je, waadilifu wamepata kutupwa? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? Tazama sura |