Yobu 38:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi jifunge viuno kama mwanamume, Maana nitakuuliza neno, nawe niambie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu. Tazama sura |