Yobu 26:5 - Swahili Revised Union Version5 Hao waliokufa watetemesha Chini ya maji na hao wakaamo humo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Mizimu huko chini yatetemeka, maji ya chini na wakazi wake yaogopa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Mizimu huko chini yatetemeka, maji ya chini na wakazi wake yaogopa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Mizimu huko chini yatetemeka, maji ya chini na wakazi wake yaogopa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji, na wale wanaoishi ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Wafu wako katika maumivu makuu, wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Hao waliokufa watetemesha Chini ya maji na hao wakaamo humo. Tazama sura |