Yobu 26:11 - Swahili Revised Union Version11 Nguzo za mbingu zatetemeka, Na kustaajabu kwa kukemea kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mungu akitoa sauti ya kukemea, nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mungu akitoa sauti ya kukemea, nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mungu akitoa sauti ya kukemea, nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, zinatishika anapozikemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, zinatishika anapozikemea. Tazama sura |