Yobu 22:2 - Swahili Revised Union Version2 Je! Yumkini mtu awaye yote kumfaa Mungu? Hakika yeye aliye na hekima hujifaa mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Je, binadamu anafaa chochote kwa Mungu? Kwa kweli mwenye hekima anajifaidi mwenyewe tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Je, binadamu anafaa chochote kwa Mungu? Kwa kweli mwenye hekima anajifaidi mwenyewe tu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Je, binadamu anafaa chochote kwa Mungu? Kwa kweli mwenye hekima anajifaidi mwenyewe tu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Je! Yamkini mtu awaye yote kumfaa Mungu? Hakika yeye aliye na hekima hujifaa mwenyewe. Tazama sura |