Yobu 21:8 - Swahili Revised Union Version8 Kizazi chao kinathibitika nao machoni pao, Na wazao wao mbele ya macho yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Huwaona watoto wao wakifanikiwa; na wazawa wao wakipata nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Huwaona watoto wao wakifanikiwa; na wazawa wao wakipata nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Huwaona watoto wao wakifanikiwa; na wazawa wao wakipata nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Huwaona watoto wao wakithibitika wakiwa wamewazunguka, wazao wao mbele za macho yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Huwaona watoto wao wakithibitika wakiwa wamewazunguka, wazao wao mbele za macho yao. Tazama sura |