Yobu 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ikatokea tena siku nyingine, malaika wa Mungu walikwenda kukutana mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye Shetani akajitokeza pia pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ikatokea tena siku nyingine, malaika wa Mungu walikwenda kukutana mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye Shetani akajitokeza pia pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ikatokea tena siku nyingine, malaika wa Mungu walikwenda kukutana mbele ya Mwenyezi-Mungu, naye Shetani akajitokeza pia pamoja nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Siku nyingine wana wa Mungu walienda kujionesha mbele za Mwenyezi Mungu. Shetani naye akaja pamoja nao kujionesha mbele zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Siku nyingine wana wa Mungu walikuja kujionyesha mbele za bwana. Shetani naye akaja pamoja nao kujionyesha mbele zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA. Tazama sura |