Yobu 18:2 - Swahili Revised Union Version2 Je! Hata lini utayawinda maneno kwa mitego? Fikiri, kisha baadaye tutanena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Je! Hata lini utayawinda maneno kwa mitego? Fikiri, kisha baadaye tutanena. Tazama sura |