Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 17:1 - Swahili Revised Union Version

1 Roho yangu imezimia, siku zangu zimekoma, Kaburi i tayari kunipokea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 “Nimevunjika moyo, siku zangu zimekwisha, kaburi langu liko tayari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 “Nimevunjika moyo, siku zangu zimekwisha, kaburi langu liko tayari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 “Nimevunjika moyo, siku zangu zimekwisha, kaburi langu liko tayari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Moyo wangu umevunjika, siku zangu zimefupishwa, kaburi linaningojea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Moyo wangu umevunjika, siku zangu zimefupishwa, kaburi linaningojea.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Roho yangu imezimia, siku zangu zimekoma, Kaburi li tayari kunipokea.

Tazama sura Nakili




Yobu 17:1
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwani ikiisha pita miaka michache, Nitakwenda njia hiyo ambayo sitarudi tena.


Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu.


Pumzi zangu zimekuwa kinyaa kwa mke wangu, Nami ni machukizo kwa ndugu zangu.


Kisha baada ya mambo hayo Ayubu akaishi miaka mia moja na arubaini, naye akawaona wanawe, na wana wa wanawe, hadi kizazi cha nne.


Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri?


Siku zangu hupita upesi kuliko chombo cha kufumia, Nazo zapita pasipokuwa na matumaini.


Kwa kuwa sitashindana na watu siku zote, wala sitakuwa na hasira siku zote; maana roho ingezimia mbele zangu, na hizo nafsi nilizozifanya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo