Yobu 16:6 - Swahili Revised Union Version6 Nijapokuwa nanena, huzuni yangu haitulizwi; Nijapokuwa najizuia, nimepunguziwa kitu gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “Lakini nikisema, maumivu yangu bado hayatulizwi; na nikijizuia, bado hayaondoki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “Lakini kama nikisema, maumivu yangu bado hayatulizwi; nami kama nikijizuia, wala hayaondoki. Tazama sura |