Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 12:9 - Swahili Revised Union Version

9 Katika hawa wote ni yupi asiyejua, Kwamba ni mkono wa BWANA uliofanya haya?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Mwenyezi-Mungu ametenda hayo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Mwenyezi-Mungu ametenda hayo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Mwenyezi-Mungu ametenda hayo?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Mwenyezi Mungu ndio uliofanya hili?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa bwana ndio uliofanya hili?

Tazama sura Nakili




Yobu 12:9
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.


Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?


Au nena na nchi, nayo itakufundisha; Nao samaki wa baharini watakutangazia.


Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuyaelewa.


Naye ndiye aliyezijaza nyumba zao vitu vyema; Lakini mashauri ya waovu na yawe mbali nami.


ili waone, na kujua, wakafikiri, na kufahamu pamoja, ya kuwa mkono wa BWANA ndio uliofanya jambo hilo. Mtakatifu wa Israeli ndiye aliyeliumba.


Kwa habari zako, Ee mfalme, Mungu Aliye Juu alimpa Nebukadneza, baba yako, ufalme, na ukuu, na fahari, na utukufu;


Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana.


Na karani wa mji alipokwisha kuwatuliza watu, akasema, Enyi wanaume wa Efeso, ni mtu gani asiyejua ya kuwa mji wa Efeso ni mtunzaji wa hekalu la Artemi, aliye mkuu, na wa kitu kile kilichoanguka kutoka mbinguni?


Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele. Amina.


BWANA hufukarisha mtu, na hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo