Yobu 11:5 - Swahili Revised Union Version5 Lakini, laiti Mungu angenena, Na kuifunua midomo yake juu yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, Tazama sura |