Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 10:16 - Swahili Revised Union Version

16 Kichwa changu kikijiinua, waniwinda kama simba; Tena wajionesha kwangu kuwa wa ajabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Nikiinua kichwa tu waniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Nikiinua kichwa tu waniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Nikiinua kichwa tu waniwinda kama simba na kuniponda tena kwa maajabu yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Nikiinua kichwa changu juu, unaniwinda kama simba, na kuonesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu.

Tazama sura Nakili




Yobu 10:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mbona umeuficha uso wako, Na kunihesabu kuwa ni adui yako?


Amenirarua katika ghadhabu zake, na kunionea; Amesagasaga meno juu yangu; Mtesi wangu hunikazia macho makali.


Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu;


Nilijituliza hata asubuhi; kama simba, anaivunja mifupa yangu yote; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.


Basi, kwa hiyo, simba atokaye mwituni atawaua, mbwamwitu wa jioni atawateka, chui ataivizia miji yao, kila mtu atokaye humo atararuliwa vipande vipande; kwa sababu makosa yao ni mengi, na kurudi nyuma kwao kumezidi.


Alivyo kwangu ni kama dubu aoteaye, Kama simba aliye mafichoni.


Maana mimi nitakuwa kama simba kwa Efraimu, na kama mwanasimba kwa nyumba ya Yuda; mimi, naam, mimi nitararua, kisha nitakwenda zangu; nitachukua mbali, wala hapatakuwa na mtu wa kuokoa.


Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?


ndipo atakapofanya BWANA mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo