Yeremia 9:9 - Swahili Revised Union Version9 Je! Nisiwaadhibu kwa mambo hayo? Asema BWANA; na nafsi yangu je! Nisijilipize kisasi juu ya taifa la namna hii? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Je, nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya? Je, nisilipe kisasi kwa taifa kama hili? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Je, nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya? Je, nisilipe kisasi kwa taifa kama hili? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Je, nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya? Je, nisilipe kisasi kwa taifa kama hili? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?” asema Mwenyezi Mungu. “Je, nisijilipizie kisasi kwa taifa kama hili?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?” asema bwana. “Je, nisijilipizie kisasi kwa taifa kama hili?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Je! Nisiwaadhibu kwa mambo hayo? Asema BWANA; na nafsi yangu je! Nisijilipize kisasi juu ya taifa la namna hii? Tazama sura |