Yeremia 8:11 - Swahili Revised Union Version11 Kwa maana wamelitibu jeraha la binti ya watu wangu kwa juu juu tu, wakisema, Amani, Amani, wala hapana amani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wameliponya jeraha la watu wangu juujuu, wakisema, ‘Kuna amani, kuna amani’, kumbe hakuna amani yoyote! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wameliponya jeraha la watu wangu juujuu, wakisema, ‘Kuna amani, kuna amani’, kumbe hakuna amani yoyote! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wameliponya jeraha la watu wangu juujuu, wakisema, ‘Kuna amani, kuna amani’, kumbe hakuna amani yoyote! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wanafunga majeraha ya watu wangu bila uangalifu. Wanasema, “Amani, amani,” wakati hakuna amani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wanafunga majeraha ya watu wangu bila uangalifu. Wanasema, “Amani, amani,” wakati hakuna amani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kwa maana wamelitibu jeraha la binti ya watu wangu kwa juu juu tu, wakisema, Amani, Amani, wala hapana amani. Tazama sura |