Yeremia 5:2 - Swahili Revised Union Version2 Na wajaposema, Kama BWANA aishivyo, hakika waapa kwa uongo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ingawa wanaapa: “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo”, viapo vyao ni vya uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ingawa wanaapa: “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo”, viapo vyao ni vya uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ingawa wanaapa: “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo”, viapo vyao ni vya uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo,’ bado wanaapa kwa uongo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama bwana aishivyo,’ bado wanaapa kwa uongo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Na wajaposema, Kama BWANA aishivyo, hakika waapa kwa uongo. Tazama sura |