Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 42:9 - Swahili Revised Union Version

9 akawaambia, BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kwake, ili niyaweke maombi yenu mbele yake, asema hivi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli ambaye mlinituma kwake nipeleke maombi yenu, asema hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli ambaye mlinituma kwake nipeleke maombi yenu, asema hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli ambaye mlinituma kwake nipeleke maombi yenu, asema hivi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Akawaambia, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kuwasilisha maombi yenu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Akawaambia, “Hili ndilo asemalo bwana, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kuwasilisha maombi yenu:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 akawaambia, BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kwake, ili niyaweke maombi yenu mbele yake, asema hivi;

Tazama sura Nakili




Yeremia 42:9
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yamkini BWANA, Mungu wako, atayasikia maneno yote ya kamanda huyu, ambaye mfalme wa Ashuru, bwana wake, amemtuma ili amtukane Mungu aliye hai; naye atayakemea hayo maneno aliyoyasikia BWANA, Mungu wako; kwa sababu hii inua dua yako kwa ajili ya mabaki yaliyobakia.


Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; BWANA asema hivi, Usiyaogope maneno hayo uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.


wakamwambia Yeremia, nabii, Twakusihi, maombi yetu yakubaliwe mbele yako, ukatuombee kwa BWANA, Mungu wako, yaani, watu hawa wote waliosalia; maana tumesalia wachache tu katika watu wengi, kama macho yako yatuonavyo;


Ndipo akamwita Yohana, mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo