Yeremia 42:4 - Swahili Revised Union Version4 Ndipo Yeremia, nabii, akawaambia, Nimewasikia; tazama, nitamwomba BWANA, Mungu wenu, sawasawa na maneno yenu; tena itakuwa, neno lolote ambalo BWANA atawajibu, nitawaambia; sitawazuilia neno liwalo lote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeremia akawajibu, “Vema; nimesikia. Nitamwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kama mlivyonisihi; jibu lolote atakalonipa Mwenyezi-Mungu, nitawaambieni; sitawaficha chochote.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeremia akawajibu, “Vema; nimesikia. Nitamwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kama mlivyonisihi; jibu lolote atakalonipa Mwenyezi-Mungu, nitawaambieni; sitawaficha chochote.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeremia akawajibu, “Vema; nimesikia. Nitamwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kama mlivyonisihi; jibu lolote atakalonipa Mwenyezi-Mungu, nitawaambieni; sitawaficha chochote.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nabii Yeremia akajibu, “Nimewasikia. Kwa hakika nitamwomba Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama mlivyoomba. Nitawaambia kila kitu asemacho Mwenyezi Mungu, wala sitawaficha chochote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nabii Yeremia akajibu, “Nimewasikia. Kwa hakika nitamwomba bwana Mwenyezi Mungu wenu kama mlivyoomba. Nitawaambia kila kitu asemacho bwana, wala sitawaficha chochote.” Tazama sura |