Yeremia 40:2 - Swahili Revised Union Version2 Naye mkuu wa askari walinzi akamtwaa Yeremia, akamwambia, BWANA, Mungu wako, alitamka mabaya haya juu ya mahali hapa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mkuu wa askari walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “Mwenyezi Mungu, Mungu wako, aliamuru maafa haya kutokea mahali hapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “bwana Mwenyezi Mungu wako aliamuru maafa haya kwa mahali hapa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Naye mkuu wa askari walinzi akamtwaa Yeremia, akamwambia, BWANA, Mungu wako, alitamka mabaya haya juu ya mahali hapa; Tazama sura |