Yeremia 4:12 - Swahili Revised Union Version12 ni upepo wa nguvu kuliko hizo utakaokuja kwa ajili yangu; sasa mimi nitatoa hukumu juu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 ni upepo wa nguvu kuliko hizo utakaokuja kwa ajili yangu; sasa mimi nitatoa hukumu juu yao. Tazama sura |