Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yeremia 21:8 - Swahili Revised Union Version

8 Nawe waambie watu hawa, BWANA asema hivi, Tazama naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 “Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sikilizeni! Mimi nawapeni nafasi ya kuchagua njia ya uhai au njia ya kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 “Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sikilizeni! Mimi nawapeni nafasi ya kuchagua njia ya uhai au njia ya kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 “Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sikilizeni! Mimi nawapeni nafasi ya kuchagua njia ya uhai au njia ya kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Nawe waambie watu hawa, BWANA asema hivi, Tazama naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.

Tazama sura Nakili

Yeremia 21:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake.

Ndipo Yeremia akamwambia Sedekia, BWANA, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kama ukitoka kwenda kwa wakuu wa mfalme wa Babeli, basi nafsi yako utaishi, wala mji huu hautateketezwa; nawe utaishi na nyumba yako;

Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana;

Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya;

Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo