Yeremia 2:4 - Swahili Revised Union Version4 Lisikieni neno la BWANA, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Sikia neno la Mwenyezi Mungu, ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Sikia neno la bwana, ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Lisikieni neno la BWANA, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli. Tazama sura |