Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 14:6 - Swahili Revised Union Version

6 Na punda mwitu husimama juu ya vilele vya milima, Hutwetea pumzi kama mbwamwitu; Macho yao hayaoni sawasawa, Kwa kuwa hapana majani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Pundamwitu wanasimama juu ya vilele vikavu, wanatweta kwa kukosa hewa kama mbweha; macho yao yanafifia kwa kukosa chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Pundamwitu wanasimama juu ya vilele vikavu, wanatweta kwa kukosa hewa kama mbweha; macho yao yanafifia kwa kukosa chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Pundamwitu wanasimama juu ya vilele vikavu, wanatweta kwa kukosa hewa kama mbweha; macho yao yanafifia kwa kukosa chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Punda-mwitu wanasimama juu ya miinuko iliyo kame na kutweta kama mbweha; macho yao yanakosa nguvu za kuona kwa sababu ya kukosa malisho.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Punda-mwitu wanasimama juu ya miinuko iliyo kame na kutweta kama mbweha; macho yao yanakosa nguvu za kuona kwa ajili ya kukosa malisho.”

Tazama sura Nakili




Yeremia 14:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

maana jumba la mfalme litaachwa; mji uliokuwa na watu wengi utakuwa hauna mtu; kilima na mnara utakuwa makao ya wanyama milele, furaha ya punda mwitu, malisho ya makundi ya kondoo;


punda wa mwitu aliyeizoelea nyika, avutaye pumzi za upepo katika tamaa yake; katika wakati wake ni nani awezaye kumgeuza? Wote wamtafutao hawatajichosha nafsi zao; katika mwezi wake watamwona.


Macho yetu yamechoka Kwa kuutazamia bure msaada wetu; Katika kungoja kwetu tumengojea taifa Lisiloweza kutuokoa.


Kwa sababu hiyo mioyo yetu imezimia; Kwa ajili ya hayo macho yetu hayaoni vema.


Jinsi wanyama wanavyougua! Makundi ya ng'ombe yamefadhaika, kwa sababu hawana malisho; naam, makundi ya kondoo yamehangaika.


Ndipo Yonathani akasema, Babangu ameifadhaisha nchi; tafadhali, angalia jinsi macho yangu yalivyotiwa nuru, kwa sababu nilionja asali hii kidogo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo