Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yeremia 13:5 - Swahili Revised Union Version

5 Basi nikaenda, nikakificha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Mwenyezi Mungu alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama bwana alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Basi nikaenda, nikakificha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru.

Tazama sura Nakili

Yeremia 13:5
10 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akafanya hayo yote; kama BWANA aliyoagiza ndivyo alivyofanya yote.

Hata ikawa, baada ya siku nyingi, BWANA akaniambia, Ondoka, nenda mpaka mto Frati, ukakitwae kile kitambaa, nilichokuamuru kukificha huko.

Basi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa na mshindo mkuu; na tazama, tetemeko la nchi, na ile mifupa ikasogeleana, mfupa kwa mfupa mwenziwe.

Ushiriki taabu pamoja nami, kama askari mwema wa Kristo Yesu.

Kwa imani Abrahamu alipoitwa aliitika, atoke aende mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo