Yakobo 4:5 - Swahili Revised Union Version5 Au mwadhani ya kwamba Maandiko yasema bure? Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Msifikiri kwamba Maandiko Matakatifu yamesema maneno ya bure, yanaposema: “Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Msifikiri kwamba Maandiko Matakatifu yamesema maneno ya bure, yanaposema: “Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Msifikiri kwamba Maandiko Matakatifu yamesema maneno ya bure, yanaposema: “Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Au mwadhani kwamba Maandiko yasema bure kuwa huyo Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Au mwadhani kwamba Andiko lasema bure kuwa huyo Roho ambaye Mwenyezi Mungu amemweka ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Au mwadhani ya kwamba Maandiko yasema bure? Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu? Tazama sura |