Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 9:6 - Swahili Revised Union Version

6 Kisha Musa akasema, Neno aliloliagiza BWANA kwamba mlifanye ni hili; na huo utukufu wa BWANA utawatokea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Ndipo Musa akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilowaagiza mlifanye, ili utukufu wa Mwenyezi Mungu upate kuonekana kwenu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Ndipo Musa akasema, “Hili ndilo bwana alilowaagiza mlifanye, ili utukufu wa bwana upate kuonekana kwenu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Kisha Musa akasema, Neno aliloliagiza BWANA kwamba mlifanye ni hili; na huo utukufu wa BWANA utawatokea.

Tazama sura Nakili

Walawi 9:6
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ilikuwa Haruni aliponena na huo mkutano wote wa wana wa Israeli, wakaangalia upande wa bara, na tazama, utukufu wa BWANA ukaonekana katika hilo wingu.

Na huo utukufu wa BWANA ukakaa juu ya mlima wa Sinai; lile wingu likaufunikiza siku sita; na siku ya saba akamwita Musa toka kati ya lile wingu.

Nami nitakutana na wana wa Israeli hapo, na hiyo Hema itafanywa takatifu na utukufu wangu.

na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling'aa kwa utukufu wake.

Kisha Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema ya kukutania, kisha wakatoka nje, na kuwabariki watu; na huo utukufu wa BWANA ukawatokea watu wote.

Nao wakayaleta hayo yaliyoagizwa na Musa wakayaweka mbele ya hema ya kukutania; kisha mkutano wote ukakaribia wakasimama mbele za BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo