Walawi 9:16 - Swahili Revised Union Version16 Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa kulingana na sheria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Haruni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Haruni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa kulingana na sheria. Tazama sura |