Walawi 9:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, na wazee wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, na wazee wa Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli; Tazama sura |