Walawi 7:33 - Swahili Revised Union Version33 Kati ya wana wa Haruni, huyo atakayeisongeza damu ya sadaka za amani, na mafuta yake, yeye atapata mguu wa nyuma wa upande wa kulia kuwa sehemu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Mguu huo utakuwa mali ya kuhani aliye mzawa wa Aroni anayetoa damu ya sadaka za amani na mafuta yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Mguu huo utakuwa mali ya kuhani aliye mzawa wa Aroni anayetoa damu ya sadaka za amani na mafuta yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Mguu huo utakuwa mali ya kuhani aliye mzawa wa Aroni anayetoa damu ya sadaka za amani na mafuta yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Mwana wa Haruni atoaye damu na mafuta ya mnyama wa sadaka ya amani ndiye atakayepewa paja hilo la kulia kuwa fungu lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Mwana wa Haruni atoaye damu na mafuta ya sadaka ya amani ndiye atakayepewa paja hilo la kulia kuwa fungu lake. Tazama sura |