Walawi 4:8 - Swahili Revised Union Version8 Kisha mafuta yote ya huyo ng'ombe wa sadaka ya dhambi atayaondoa; mafuta yote yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: Mafuta yanayofunika matumbo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: Mafuta yanayofunika matumbo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: mafuta yanayofunika matumbo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi: mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi, mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kisha mafuta yote ya huyo ng'ombe wa sadaka ya dhambi atayaondoa; mafuta yote yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo, Tazama sura |
kisha atayaondoa mafuta yake yote, kama mafuta ya mwana-kondoo yalivyoondolewa katika hizo sadaka za amani; kisha kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kwa desturi ya hizo sadaka za BWANA zilizosongezwa kwa njia ya moto; na kuhani atamfanyia upatanisho kwa ajili ya hiyo dhambi yake aliyoifanya, naye atasamehewa.