Walawi 4:32 - Swahili Revised Union Version32 Naye akileta mwana-kondoo kuwa sadaka ya dhambi, ataleta wa kike mkamilifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 “Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 “Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 “Ikiwa mtu huyo ataleta mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi, basi, ataleta mwanakondoo jike asiye na dosari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 “ ‘Akileta mwana-kondoo kuwa sadaka yake ya dhambi, atamleta jike asiye na dosari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 “ ‘Ikiwa ataleta mwana-kondoo kama sadaka yake ya dhambi, atamleta jike asiye na dosari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Naye akileta mwana-kondoo kuwa sadaka ya dhambi, ataleta jike mkamilifu. Tazama sura |