Walawi 4:11 - Swahili Revised Union Version11 Kisha ngozi yake ng'ombe, na nyama yake yote, pamoja na kichwa chake, na pamoja na miguu yake, na matumbo yake, na mavi yake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Lakini ngozi ya huyo ng'ombe, nyama, kichwa, miguu, matumbo na mavi yake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Lakini ngozi ya huyo ng'ombe, nyama, kichwa, miguu, matumbo na mavi yake, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Lakini ngozi ya huyo ng'ombe, nyama, kichwa, miguu, matumbo na mavi yake, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini ngozi ya huyo fahali na nyama zake zote, pamoja na kichwa na miguu yake, sehemu za ndani na matumbo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini ngozi ya huyo fahali na nyama zake zote, pamoja na kichwa na miguu yake, sehemu za ndani na matumbo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kisha ngozi yake ng'ombe, na nyama yake yote, pamoja na kichwa chake, na pamoja na miguu yake, na matumbo yake, na mavi yake, Tazama sura |