Walawi 3:14 - Swahili Revised Union Version14 Naye atasongeza katika sadaka hiyo matoleo yake, dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; yaani, mafuta yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kisha, mafuta yote yanayofunika matumbo Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Katika ile sadaka anayotoa, atatoa hii sadaka ya kuteketezwa kwa Mwenyezi Mungu: mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani na yale yanayoungana nazo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kutokana na ile sadaka anayotoa, atatoa sadaka hii kwa bwana kwa moto: mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani na yale yanayoungana nazo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Naye atasongeza katika sadaka hiyo matoleo yake, dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; yaani, mafuta yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo, Tazama sura |