Walawi 27:9 - Swahili Revised Union Version9 Tena kama ni mnyama wa namna ambayo watu husongeza kuwa sadaka kwa BWANA, kila mmoja katika wanyama hao atakayetolewa kwa BWANA, na mtu yeyote, atakuwa ni mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Ikiwa nadhiri yenyewe inahusu mnyama wa namna ambayo watu humtolea Mwenyezi-Mungu sadaka, basi mnyama huyo huwa kitu kitakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Ikiwa nadhiri yenyewe inahusu mnyama wa namna ambayo watu humtolea Mwenyezi-Mungu sadaka, basi mnyama huyo huwa kitu kitakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Ikiwa nadhiri yenyewe inahusu mnyama wa namna ambayo watu humtolea Mwenyezi-Mungu sadaka, basi mnyama huyo huwa kitu kitakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa Mwenyezi Mungu, mnyama huyo aliyetolewa kwa Mwenyezi Mungu anakuwa mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa bwana, mnyama wa namna hiyo aliyetolewa kwa bwana anakuwa mtakatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Tena kama ni mnyama wa namna ambayo watu husongeza kuwa sadaka kwa BWANA, kila mmoja katika wanyama hao atakayetolewa kwa BWANA, na mtu yeyote, atakuwa ni mtakatifu. Tazama sura |