Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 27:11 - Swahili Revised Union Version

11 Na kama ni mnyama yeyote asiye safi, wa namna ambayo hawamsongezi kwa BWANA, basi atamweka huyo mnyama mbele ya kuhani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 “Kama nadhiri hiyo yahusu mnyama najisi, wa aina ambayo si halali kumtolea Mwenyezi-Mungu, basi, mtu aliyemtoa, atamleta kwa kuhani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 “Kama nadhiri hiyo yahusu mnyama najisi, wa aina ambayo si halali kumtolea Mwenyezi-Mungu, basi, mtu aliyemtoa, atamleta kwa kuhani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 “Kama nadhiri hiyo yahusu mnyama najisi, wa aina ambayo si halali kumtolea Mwenyezi-Mungu, basi, mtu aliyemtoa, atamleta kwa kuhani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kama alichokiwekea nadhiri ni mnyama aliye najisi, yaani yule asiyekubalika kuwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu, huyo mnyama lazima aletwe kwa kuhani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kama alichokiwekea nadhiri ni mnyama aliye najisi kiibada, yaani yule asiye kubalika kuwa sadaka kwa bwana, huyo mnyama lazima aletwe kwa kuhani,

Tazama sura Nakili




Walawi 27:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye hatamgeuza, wala kumbadili mwema kwa mbaya, au mbaya kwa mwema; ikiwa atabadili mnyama kwa mnyama yeyote, ndipo mnyama huyo na yule waliobadiliwa wote wawili watakuwa watakatifu.


na kuhani atamkadiria, akiwa mwema akiwa mbaya; kama kuhani atakavyomkadiria, ndivyo itakavyokuwa.


Lakini na alaaniwe mtu adanganyaye, ambaye katika kundi lake ana dume, akaweka nadhiri, ila amtolea Bwana kitu kilicho na kilema; kwa maana mimi ni Mfalme mkuu, asema BWANA wa majeshi, na jina langu latisha katika mataifa.


Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo