Walawi 26:21 - Swahili Revised Union Version21 Nanyi ikiwa mnaenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 “ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 “ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Nanyi ikiwa mnaenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiliza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo. Tazama sura |