Walawi 26:2 - Swahili Revised Union Version2 Zishikeni Sabato zangu, na kupastahi patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “ ‘Zishikeni Sabato zangu na kuheshimu mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “ ‘Zishikeni Sabato zangu na kuheshimu mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Zishikeni Sabato zangu, na kupastahi patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA. Tazama sura |