Walawi 25:7 - Swahili Revised Union Version7 na kwa wanyama wako, na kwa wanyama walio katika nchi yako; mavuno yote yatakuwa ni chakula chao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa. Tazama sura |