Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 24:17 - Swahili Revised Union Version

17 Na mtu ampigaye mtu hadi akafa, lazima atauawa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mtu yeyote anayeua mtu mwingine ni lazima naye auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mtu yeyote anayeua mtu mwingine ni lazima naye auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mtu yeyote anayeua mtu mwingine ni lazima naye auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 “ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe.

Tazama sura Nakili




Walawi 24:17
11 Marejeleo ya Msalaba  

Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.


Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko.


Na mtu amwuaye mnyama atalipa; na yeye atakayemwua binadamu atauawa.


Lakini kama alimpiga kwa chombo cha chuma, akafa, ni mwuaji huyo; mwuaji hakika yake atauawa.


Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo