Walawi 23:25 - Swahili Revised Union Version25 Msifanye kazi yoyote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Msifanye kazi siku hiyo na ni lazima mnitolee mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Msifanye kazi siku hiyo na ni lazima mnitolee mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Msifanye kazi siku hiyo na ni lazima mnitolee mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa Mwenyezi Mungu iliyoteketezwa kwa moto.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa bwana iliyoteketezwa kwa moto.’ ” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Msifanye kazi yoyote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto. Tazama sura |