Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 23:16 - Swahili Revised Union Version

16 hata siku ya pili ya hiyo Sabato ya saba mtahesabu siku hamsini; nanyi mtamsogezea BWANA sadaka ya unga mpya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Mnamo siku ya hamsini, siku ya pili ya Sabato ya saba, mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka mpya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Mnamo siku ya hamsini, siku ya pili ya Sabato ya saba, mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka mpya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Mnamo siku ya hamsini, siku ya pili ya Sabato ya saba, mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka mpya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Mtahesabu siku hamsini hadi siku inayofuata Sabato ya saba, ndipo mtatoa sadaka ya nafaka mpya kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Mtahesabu siku hamsini mpaka siku inayofuata Sabato ya saba, ndipo mtatoa sadaka ya nafaka mpya kwa bwana.

Tazama sura Nakili




Walawi 23:16
4 Marejeleo ya Msalaba  

Katika mwezi wa tatu wakaanza kupanga mafungu hayo, wakayamaliza katika mwezi wa saba.


Mtatoa katika makao yenu mikate miwili ya kutikiswa, itakuwa ya sehemu za kumi mbili za efa; itakuwa ya unga mwembamba, itaokwa na chachu, iwe malimbuko kwa BWANA.


Tena katika siku ya malimbuko, hapo mtakapomsogezea BWANA sadaka ya unga mpya katika sikukuu yenu ya majuma mtakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yoyote ya utumishi;


Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo