Walawi 23:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana akamwambia Musa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Tazama sura |
Angalia, najenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wangu, ili kumfanyia wakfu, ya kufukizia mbele zake fukizo la manukato, na ya mkate wa wonyesho wa daima, na ya sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni, na za siku za sabato, na za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa za BWANA, Mungu wetu. Hili ni agizo la milele kwa Israeli.
Tena itakuwa kazi ya mkuu kutoa hizo sadaka za kuteketezwa, na sadaka za unga, na sadaka za vinywaji, katika sikukuu, na katika mwezi mpya, na katika sabato, katika sikukuu zote za nyumba ya Israeli zilizoamriwa; atatengeneza sadaka ya dhambi, na sadaka ya unga, na sadaka ya kuteketezwa, na sadaka za amani, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ya Israeli.