Walawi 21:24 - Swahili Revised Union Version24 Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Basi Musa akanena na Haruni, na wanawe, na Waisraeli wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Basi Musa akamwambia Haruni jambo hili na wanawe, pamoja na Waisraeli wote. Tazama sura |