Walawi 21:13 - Swahili Revised Union Version13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “ ‘Mwanamke atakayeolewa na kuhani lazima awe bikira. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “ ‘Mwanamke kuhani atakayemwoa lazima awe bikira. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake. Tazama sura |