Walawi 21:11 - Swahili Revised Union Version11 wala hataingia penye maiti, wala asijitie unajisi kwa ajili ya baba yake wala mama yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Asikaribie maiti wala kujitia unajisi kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Asikaribie maiti wala kujitia unajisi kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Asikaribie maiti wala kujitia unajisi kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kamwe asiingie mahali palipo maiti ndani. Kamwe asijitie unajisi, hata kwa ajili ya baba yake au mama yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kamwe asiingie mahali palipo maiti ndani. Kamwe asijitie unajisi, hata kwa ajili ya baba yake au mama yake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 wala hataingia penye maiti, wala asijitie unajisi kwa ajili ya baba yake wala mama yake; Tazama sura |